Nguvu ya watu pamoja na teknolojia
Kuwezesha vijana kupata elimu bora kupitia mifumo ya kisasa ya kujifunza.
Kujenga miundombinu ya kidigitali kusaidia wakazi wa Itwangi kuunganishwa kimtandao.
Kukuza ushirikiano na kusaidia miradi ya kilimo, afya, na ustawi wa jamii.